chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 508
- 704
Pole ndugu. Mchomee gamba la kasa, anuse.
Miba ya nungunungu inauzwa/ inapatikana wapi chiefAu mwiba wa nungunungu pia inasaidia
Ushauri mzuri, ni vizuri akaanza na hili haraka kama atakuwa hana shida ndio atafute matibabu mengine. Ana uzito gani?Mwambie akapime blood pressure inaweza kuwa blood pressure inapanda sana ndio sababu damu inatoka puaani hiyo ni bahati yake kama damu haitoki puani na pressure imepanda huwa inapasua mishipa na kusababisha ulemavu au kuwa kwenye coma
Shukrani nitajaribu kufanya hvyonitaleta mrejeshoPole ndugu. Mchomee gamba la kasa, anuse.
Mwambie akapime blood pressure inaweza kuwa blood pressure inapanda sana ndio sababu damu inatoka puaani hiyo ni bahati yake kama damu haitoki puani na pressure imepanda huwa inapasua mishipa na kusababisha ulemavu au kuwa kwenye coma
Hospitali alienda kuna dawa flani ya sindano aliandikiwaMwambie akapime blood pressure inaweza kuwa blood pressure inapanda sana ndio sababu damu inatoka puaani hiyo ni bahati yake kama damu haitoki puani na pressure imepanda huwa inapasua mishipa na kusababisha ulemavu au kuwa kwenye coma
Mkuu anuse moshi wake?Pole ndugu. Mchomee gamba la kasa, anuse.