Naomba msaada wa tatizo hili la tumbo kujaa mapema

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni kijana kwasasa nina umri wa miaka 24

Nina tatizo la tumbo kujaa mapema.

Yaani sasa hivi nikila kitu chochote au nikinwa maji nahisi utumbo wote umejaa na kuna vitu vina nichoma choma tumboni

Nikilala kifo cha mende kama kwa dakika 3 au 5 tena ninasikia tumbo inaguruma na baada ya apo nina rudi kwenye hali yangu ya kawaida

Sijui hili ni tatizo gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom