Hapo pc ni nzima ila windows ina matatizo. Hukugusa chochote kabla tatizo kutokea?
Njia ya haraka ni kutafuta windows weka kwa njia ya ku update (usifute kitu) itarudi bila kupoteza data.
Njia nyengine ni kufanya trial and error Ingia hapo troubleshoot Jaribu kuboot na safe mode uone itakubali? Angalia pia njia mbalimbali za kutroubleshoot.