Naomba msaada wa taarifa kuhusu ada ya Open University

Naomba msaada wa taarifa kuhusu ada ya Open University

nadori

Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
99
Reaction score
63
Habari wadau, kwa ambao wamepita na wanaosoma au wanaijua open university ninaomba kujuzwa ada yake pamoja na direct costs kwa ujumla hususani kwenye kozi za BBA.Nimejaribu kupitia website yao ila sijapata enough information.
 
Open ada 60000 kwasababu ni distance learning we nenda na km laki ivi inatosha
 
ada ni 60,000 kwa unit moja kwa mwaka.....ndani ya mwaka unasoma unit 12 hivyo piga hesabu elfu 60 mara unit 12 utapata ada inayotakiwa kulipwa kwa mwaka mmoja..........
 
uwe unajitahidi kua serious japo mara moja kwa mwaka, mtu anauliza yupo serious we unaleta mambo ya kise.nge, kama huna jibu funga domo lako lisilo pigwa mswaki, nyambafu!
Mbona unamtukana mwenzio wakat ww ndo hujui kitu mkuu......mwana kakujibu correct kabisa ..........kama hujui piga kimya
 
ada ni 60,000 kwa unit moja kwa mwaka.....ndani ya mwaka unasoma unit 12 hivyo piga hesabu elfu 60 mara unit 12 utapata ada inayotakiwa kulipwa kwa mwaka mmoja..........
Ahsante kwa majibu ila ningependa kujua jumla ya gharama kwa anayeanza first year yani direct costs(library,registration, ID etc)+ tuition fee kwa sababu hiyo elfu 60 ni tuition fee tu.Samahani kwa usumbufu
 
Back
Top Bottom