Naomba msaada wa sh.250,000 kwa ajili ya ada

Naomba msaada wa sh.250,000 kwa ajili ya ada

Poluyakhtov

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Posts
365
Reaction score
307
Habari za muda huu wana Jamii forum,

Mimi ni kijana ambaye nimechaguliwa chuo cha maji ngazi ya stashahada kozi ya Water Supply and Sanitation Engineering mwaka huu.

Naomba mchango wenu wa tsh. 250,000 ili niweze kulipia semester ya kwanza.Kwa sasa ninacho kiasi cha Shilingi.360,000 na malipo kwa Semester ni Sh.610,000.

Chuo kitafunguliwa tarehe 23 mwezi huu.

kwa yeyote atakayekuwa na nia ya kunisaidia atumie namba 0689997808,Jina:Thomas Mbata.Mara nyingi namba haipatikani kwa sababu natumia simu ya kuazima tu.

Mungu awabariki!
 
habari za muda huu wana Jamii forum,

Mkuu ili watu wakuamini weka details zako vizuri kuna watubwengine wasiokuwa waaminifu.

Thibitisha kwamba umechaguliwa hicho chuo mfano selection za chuo,details za masomo yako ya nyuma kama certificates,namba iliyosaijiliwa kwa jina lako,Picha ya kitambulisho kinachotambulika nk.Unaishi wapi na changamoto gani umekutana nayo nk

Lengo langu watu wakuelewe unachokiomba
 
Pole sana dogo kipindi unasubiria michango ya wadau embu jaribu kuwasiliana na mkuu wako wa chuo umuelezee tatizo lako pia si vibaya ukiwasiliana pia na mkuu wako wa wilaya,all the best.
 
Mkuu ili watu wakuamini weka details zako vizuri kuna watubwengine wasiokuwa waaminifu.

Thibitisha kwamba umechaguliwa hicho chuo mfano selection za chuo,detai
ls za masomo yako ya nyuma kama certificates,namba iliyosaijiliwa kwa jina lako,Picha ya kitambulisho kinachotambulika nk.Unaishi wapi na changamoto gani umekutana nayo nk

Lengo langu watu wakuelewe unachokiomba
Jin
a langu lipo namba 151 kwenye screenshot hapa chini
 
Attachments

  • Screenshot_20171006-233514.png
    Screenshot_20171006-233514.png
    40.2 KB · Views: 53
Pole sana dogo kipindi unasubiria michango ya wadau embu jaribu kuwasiliana na mkuu wako wa chuo umuelezee tatizo lako pia si vibaya ukiwasiliana pia na mkuu wako wa wilaya,all the best.
Asante mkuu
 
Kuwa mkweli pasiwepo hata chembe ya udanganyifu Mungu atatenda miujiza mimi naungana na wewe kwenye maombi ili ufanikishe suala lako....
 
Back
Top Bottom