Mayo kulipuka ni ile hali ya kupata mshtuko ghafla,uoga fulani na mapigo ya moyo kwenda faster kuliko kawaida yake,
Hii inaweza kukutokea bila sababu,moyo unakushtuka ghafla kisha hali ya kawaida inakurudia,hali hii hua sio ya kawaida kama itakutokea mara kwa mara katika muda mchache/mfupi,ni lazima uende Hospitali.