Naomba msaada wa namna ya kupata Reference Number maombi ya chuo

Application SUA nashidwa kupata reference number naomba msaada nikiwasiliana na chuo wapatikani
ukisha jisajili wanakupa password na username..tumia kulog in then utaona ujumbe umeandikwa kwa maandish mekundu utaiona apo.
japo ata ukilog in hautaingia mpk ulipie iyo pesa
 
shukrani nimeshafanikiwa
 
ukisha jisajili wanakupa password na username..tumia kulog in then utaona ujumbe umeandikwa kwa maandish mekundu utaiona apo.
japo ata ukilog in hautaingia mpk ulipie iyo pesa
Hizo username na password huwa ni za kulog in NACTE au Chuo?
 
Back
Top Bottom