Naomba msaada wa namna ya kubadili rangi kwenye maandishi (Bolding)

Anza kwa kuweka mabano haya [ ], ndani yake unaandika color=red au color=geeen.
Baada ya hayo mabano andika unachotaka, kama kawaida.

Mwisho unafunga
tena kwa mabano haya [ ] ndani unaandika /color. Ila usiache nafasi unapofunga kwa mabano unapomaliza kuandika
2najaribu
 
Back
Top Bottom