Naomba msaada wa majina ya hivi viwanda kwa Kenya na Tanzania nakama unamawasiliano yao ya email au website zao utakuwa umenisaidia zaidi nataka kujaribu kufanya biashara ya madawa kutoka nje ya kutengeneza bidhaa zao
-shampoo
-dishwashing
-bodycare
-laundry
-detergent
Unataka kunakili (counterfeit)?
Unge-google nahisi utapata some. Weka jina la industry na uweke tanzania.
Lakini google 'business directory, tanzania' pia unaweza kupata pa kuanzia.