Muwe mnakula samaki achaneni na matembele...Sidhani kama mtu atakaeweza kusoma hayo maandishi. Tafadhali piga tena picha vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ali-overstay..... hapo kurudi SA hadi baada ya 20 December 2020.
Inategemea na mambo mengi saana.Sasa nn kifanyike ili arudi kabla ya huo muda maana ni mbaali sana huko 20 Dec 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada yako amezidisha siku za kukaa SA kwa siku moja, hivyo amepewa adhabu ya kutoingia SA mpaka tarehe 20-12-2020.
Ila kama anahisi ameonewa, anayo fursa ya kukata rufaa kwa director general wa Immigration au waziri wa mambo huyo kule SA
Hiyo ni nchi ya watu kama mmezoea uswahiliswahili hapo mtakuwa mmekwama! Hakuna namna, dawa ni kutii maagizo tu! Ameambiwa anaweza kukata rufaa, sasa aangalie kama anaweza kukata rufaa!Sasa nn kifanyike ili arudi kabla ya huo muda maana ni mbaali sana huko 20 Dec 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitakiwa ajue ame overstay...hapo angeweza kwenda na kujisalimisha angelipa pesa hati yake ikawa safi.
Lakn mbona kwenye hati yake anasema amegongewaa ule muhuri wa kawaida ambao kila akisafiri huwa unagongwa?Alitakiwa ajue ame overstay...hapo angeweza kwenda na kujisalimisha angelipa pesa hati yake ikawa safi.
Kama anaweza abadili hati na akiweza atoe herufi kwenye jina kama haitaathiri chochote kwenye maisha yake. Mfano anaitwa Fatma anaweza akaandika Fatima. Hii inategemea kama waliweka kila kitu kwenye system.
Ila muda mwingi Wasouth ni wazembe hawaangalii ukienda na pass mpya unapita tu.
Hiyo ni nchi ya watu kama mmezoea uswahiliswahili hapo mtakuwa mmekwama! Hakuna namna, dawa ni kutii maagizo tu! Ameambiwa anaweza kukata rufaa, sasa aangalie kama anaweza kukata rufaa!
Siku kumi tu tangu tarehe aliyopokea barua hiyo
Hapo wamerecord sasa... si jina lake lipo kwenye system (computer) siku anaingia wanalitafuta watakutana na ban ya kutokuingia.Lakn mbona kwenye hati yake anasema amegongewaa ule muhuri wa kawaida ambao kila akisafiri huwa unagongwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujaeleweka kabisa mzee../mama/baba.Ukizidisha siku za kukaa ukala burn....km unataka kurudi mapema ...lipa zile siku ulizokuwa umezidisha !! Nenda ofice za imagration
Pia pasport yake inawezekana aliomba ya utalii ambayo huwa inakuwa fixed days
Km anafanya kule ....ambatanishe na work permit ili imagration offisor ambadilishie pasport yake asiwe anakula burn
Sent using i phone x