Mkuu kuna fursa ya kwenda south korea kufanya kazi hii inaratibiwa na serikali hivyo ni uhakika(unatoka ukiwa umesaini mikataba). Ila sema ina gharama ambapo mm mwenyewe nimeshindwa kuimudu nikaona sio mbaya nikitoa huu mchongo kwa mwingine. Kama utaweza kujigharamia nauli ni kama 1,800/=usd. Gharama za kujikimu ukiwa ugenini angalau 1,000/= usd na gharama za huyo jamaa 4,500/=usd. Ukiwa na uhakika na umejipanga kuondoka next week, nicheki nikuunge nae.