Naomba msaada wa kutatua changamoto hii katika Application ya UDOM

social 006

Member
Joined
Mar 7, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Msaada,

Wakati nafanya maombi ya kujiunga na chuo cha UDOM, nimefanikiwa kucreate account na ku log in, shida ni kwamba nime log in nakuta account kwenye dashboard ni empty hakuna sehemu ambapo naweza pata controls number wala sehemu ya kufanya application ya uchaguz wa kozi.
 
Msaada.
Wakati nafanya maombi ya kujiunga na chuo cha Udom, nimefanikiwa kucreate account na ku log in, shida ni kwamba nime log in nakuta account kwenye dashboard ni empty hakuna sehemu ambapo naweza pata controls number wala sehemu ya kufanya application ya uchaguz wa koz
Sontimes ni network fault, zima data, zima pc, lala, kesho nayo siku
Hii mifumo inaendeshwa na watu ambao sometimes huchoka ama husahau kuruhusu jambo liendelee kufanya kaz automatically, so kuwa mtulivu
Dirisha la usajili huwa more than 2 months
 
Msaada,

Wakati nafanya maombi ya kujiunga na chuo cha UDOM, nimefanikiwa kucreate account na ku log in, shida ni kwamba nime log in nakuta account kwenye dashboard ni empty hakuna sehemu ambapo naweza pata controls number wala sehemu ya kufanya application ya uchaguz wa kozi.
Kama tatizo linaendelea jaribu kubadilisha Browser, au consult nao
 
Nahisi ni network nami ipo kama wewe... simu hawapokei nyingine nimepiga anakata
 
Msaada,

Wakati nafanya maombi ya kujiunga na chuo cha UDOM, nimefanikiwa kucreate account na ku log in, shida ni kwamba nime log in nakuta account kwenye dashboard ni empty hakuna sehemu ambapo naweza pata controls number wala sehemu ya kufanya application ya uchaguz wa kozi.
Badili browser
 
mkuu vpi ulifanikiwa?
 
Oy kjn ulisolve vp hil tatizo
 
Back
Top Bottom