samilakadunda JF-Expert Member Oct 13, 2011 1,780 354 Dec 3, 2012 #1 naomba mnisaidie kwana nikiweka headphone nasikia auti nikitoa hakuna sauti katika inbult speaker! Nimeangangalia sehem zozote zipo salama!
naomba mnisaidie kwana nikiweka headphone nasikia auti nikitoa hakuna sauti katika inbult speaker! Nimeangangalia sehem zozote zipo salama!
samilakadunda JF-Expert Member Oct 13, 2011 1,780 354 Dec 3, 2012 Thread starter #2 jamaani msaada wenu jamani!
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Dec 3, 2012 #3 Tatizo linaweza kuwa ni drivers za audio , hebu jaribu ku download latest drivers za audio ya pc yako
Tatizo linaweza kuwa ni drivers za audio , hebu jaribu ku download latest drivers za audio ya pc yako