Naomba msaada wa kurecover data kwenye partition ya pc yangu

Naomba msaada wa kurecover data kwenye partition ya pc yangu

mwambona jr

Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
27
Reaction score
42
Nillikuwa nafanya shughuli zangu kwenye pc yangu kwa bahati mbaya nimeiformat partition yenye taarifa zangu binafsi Gb 150 naomba msaada wa kurecover naombeni msaada jinsi gani niweze kupata japo zile za muhimu zaidi nitangulize shukrani zangu za dhati asanteni
IMG_20190404_221812.jpg
 
tafuta TestDisk install alafu recover partition
 
Back
Top Bottom