Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Wanabodi

Naomba mnisaidie file la setting kwa game hilo kwan kila nikidownload inagoma kuwa na setting. Naomba msaada wa zip file.

Ahsante
 
NFS2?!!!!! Duh, umenikumbusha zamani sana, hilo gemu unataka kulicheza kwenye pentium I au? Nunua pc nyingine bana, mbona sku hizi bei rahisi sana?!~
 
Setting yake haipo kaka

unamaanisha setup? si kila game lina setup mengine ni portable/repack ukishadownload unacheza huna haja ya kuinstall. hakuna icon ilioandikwa nfs au nfs2?

ungeeka na pic ya mafile yenyewe ungepata msaada mara moja
 
Download kitu inaitwa daimon tools,then fanya installation ya hiyo game kwa kupitia daimon tools
 
Back
Top Bottom