Naomba msaada wa kupata namba ya Eric Shigongo tafadhali

Naomba msaada wa kupata namba ya Eric Shigongo tafadhali

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,785
Reaction score
51,527
Habari za weekend wanajamvi.hope wote ni wazima kwa uwezo wa Mungu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza iko hvi kuna rafiki yangu (mvulana)aliniomba kumsaidia kupata namba ya Shigongo (anashida nae sana).kwa upande wangu sikuwa na mtu ambae naweza kumuomba namba yake nikaipata zaidi ya hapa GT.ndugu zangu naomben msaada wa kuweza kuipata namba ya Shigongo tafadhali.

Mungu awabariki nyote

Naomba kuwasilisha.
 
nunua gazeti kati ya Ijumaa, Uwazi, Amani na champion utapata namba wanawekaga mle...Kama upi dar nenda bamaga pale utampata ofisin anakuwepo !
 
Nenda mpaka Bamaga uliza ofisi za shigongo utaonywesha ukifika pale utapata namba Yake kwa urahisi zaidi
 
nunua gazeti kati ya Ijumaa, Uwazi, Amani na champion utapata namba wanawekaga mle...Kama upi dar nenda bamaga pale utampata ofisin anakuwepo !

Kwa sasa sipo dar nimesafiri kidogo
 
Mwenye kuwa nayo naomba anipm kwa usalama wa namba ya mhusika
 
Back
Top Bottom