Naomba msaada wa kupata kitu hii

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Wana jf naomba nisaidiwe software inayoitwa 'adobe master collction cs3, au cs4 au hata cs5 ambayo ni full ili niweze kuendeleza ujasiliamali wangu wa editing. Ndo nimeanza kujialiri hivyo bado sijapata uwezo wa kununua hivyo mwenye link ya hii kitu naomba anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani
 
Asante mwana wane ngoja ni click hii link nione majibu yake, nitakujuza muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…