Wakuu salaam nina mgonjwa (Baba mzazi) amepatikana na tatizo la moyo sasa Dr kaagiza ipatikane dawa ipo hapo chini nimejaribu mbeya pasi mafanikio dsm pia hali imekuwa ni hiyo hiyo pia!
Nimejaribu rudi tena kwa Dr pengine kama anaweza nibadirishia lakini kaishia kunieleza kwa tatizo la mzee hiyo dawa ipatikane! Shida nimeambiwa hiyo dawa inatoka India na sasa kule kuna tabu ya usafiri msaada wa mawazo katika hili.