Naomba msaada wa kujuzwa hili

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
354
Reaction score
447
Tafadhari wanajukwaa naomba mnisaidie kujua watumishi wa umma waliopata ajira July-2022 wamepata mshahara wa mwezi huu.
 
Kuna halmshauri zingine wamepata zingine bado nazani Kuna shida mahali fulani na Maafisa utumishi wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…