mawida Member Aug 24, 2019 9 10 Jul 7, 2020 #1 Wadau tusaidiane hapa kwa mwenye ujuzi, Jinsi ya ku-unlock Twitter Suspended Account kama kuna wenye uzoefu
Wadau tusaidiane hapa kwa mwenye ujuzi, Jinsi ya ku-unlock Twitter Suspended Account kama kuna wenye uzoefu
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 46,921 122,189 Jul 7, 2020 #2 Ngoja tusubiri wajuvi, mimi pia walishani suspend toka kitambo..
mawida Member Aug 24, 2019 9 10 Jul 7, 2020 Thread starter #4 Mwifwa said: Ngoja tusubiri wajuvi, mimi pia walishani suspend toka kitambo.. Click to expand... Mpaka leo hujawah kuwa unsuspend
Mwifwa said: Ngoja tusubiri wajuvi, mimi pia walishani suspend toka kitambo.. Click to expand... Mpaka leo hujawah kuwa unsuspend
mawida Member Aug 24, 2019 9 10 Jul 7, 2020 Thread starter #5 Chupayamaji said: Ban hiyo Click to expand... Noma sana
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 46,921 122,189 Jul 7, 2020 #6 mawida said: Mpaka leo hujawah kuwa unsuspend Click to expand... Ndio
Mwanakulipata JF-Expert Member Jul 17, 2018 713 1,181 Jul 7, 2020 #7 Ukiwa Suspended ndo imefutwa hivo ko fungua nyingine hamna msaada tena
Munuo Member Jul 30, 2019 98 128 Jul 8, 2020 #8 mawida said: Wadau tusaidiane hapa kwa mwenye ujuzi, Jinsi ya ku-unlock Twitter Suspended Account kama kuna wenye uzoefu View attachment 1499677 Click to expand... Mkuu ulifanya kosa gan
mawida said: Wadau tusaidiane hapa kwa mwenye ujuzi, Jinsi ya ku-unlock Twitter Suspended Account kama kuna wenye uzoefu View attachment 1499677 Click to expand... Mkuu ulifanya kosa gan