Naomba msaada wa kuandaa Proposal

Naomba msaada wa kuandaa Proposal

Msuyar Jr

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
35
Reaction score
11
Naomba kwa yeyote anaejua jinsi ya kuandaa proposal anielekeze. Nataka kuomba hela kwa wawekezaji ili niendeshe biashara.
Hivyo Kama unajua kuandaa proposal, please nielekeze
 
Naomba kwa yeyote anaejua jinsi ya kuandaa proposal anielekeze. Nataka kuomba hela kwa wawekezaji ili niendeshe biashara.
Hivyo Kama unajua kuandaa proposal, please nielekeze
proposal ni mswada...

mswada wako unahusu mradi gani wa biashara?

gharama yake ni USD ngapi?

weka wazi biashara yako, hakuna jipya kwa sasa hapa duniani, machache sana hayajagunduliwa!
 
proposal ni mswada...

mswada wako unahusu mradi gani wa biashara?

gharama yake ni USD ngapi?

weka wazi biashara yako, hakuna jipya kwa sasa hapa duniani, machache sana hayajagunduliwa!
First nataka nifanye mradi wa kuku wa kienyeji...
And pili nataka niandae proposal ya kuomba ratiba ya kipindi ktk moja ya redio pendwa hapa mjini, idea ya kipindi nnayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom