Sio kulalamika kiukweli nimekumbuka kuwa nshawahi ona proma za biashara ya ku'unlock hivi vitu humuhumu jukwaani so nadhani nimefanya makosa kuomba msaada badala ya kuwatafuta wanaofanya hizo kazi kama biashara na bila shaka wengine wapo humuhumu jukwaani... .sio vizuri kuharibu riziki ya mtu.. .