Naomba msaada wa ku-root tecno P5

uludodi

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2014
Posts
576
Reaction score
915
Mi nina sim tecnop5 nataka kuiroot. Nitafanyaje na nitajuaje kama iko tayari rooted?
 
Download framaroot hii application inapatikana nje ya play store ukisha install restart simu yako baada ya hapo download root checker kujuakama imekuwa rooted(root checker inapatikana play store)
 
Download framaroot hii application inapatikana nje ya play store ukisha install restart simu yako baada ya hapo download root checker kujuakama imekuwa rooted(root checker inapatikana play store)

ahsante sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…