Naomba msaada wa ku-root Sony experia Z

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
396
Kwa yeyoyete anayefahamu, nawezaje kuroot simu tajwa hapo juu bila computer?!
 
mm naweza kuroot ila software ninazo na ni dakika 5 na root

jamaa hajasema nan anaweza root xperia...anaomba msaada ..sasa habar za kujifanya unajua na maelekezo hutoi hapa hatuuzi sura...we mtu wapili huyo juu nae akajifanya anaweza anaambiea afunguke kakimbia mazima
 
Ndugu kuroot Xperia Z ni bora ukatumia computer, achana na kubahatisha rooting siyo mzaa kama kuinstall Apps kutoka Play Store, kwa hiyo tools za rooting for Xperia Z ni hapa XDA..
Hiyo ni One Click toolkit bro... Kumbuka kufanya backup ya data zako kabla ya kufanya chochote..
Pamoja Sana!
 
mm ninazo software zpo software nyng kuna adb root search google itakuja
 
hebu jaribu hii njia,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…