Habari wakuu mi ni mgeni ktk window 8 nime install kama kawaida ya Ku copy, Kama mnavyojua kununua c mchezo. Naomba kujuzwa jinc ya kuactivate iwe genuine ya muda mrefu. Coz inaandika your license to use windows expires on 5/18/2015. Naomba mnisaidie jinsi ya kuactivate ya muda mrefu.