P peacebm Member Jan 31, 2010 57 9 May 21, 2011 #1 Nina LCD TV ya Sharp model LC-32GA6E imepata tatizo leo inatoa sauti lakini haitoi picha. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kiufundi anisaidie kutatua tatizo, nipo Dar namba yangu 0787662663, e-mail peacebm@yahoo.com
Nina LCD TV ya Sharp model LC-32GA6E imepata tatizo leo inatoa sauti lakini haitoi picha. Naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kiufundi anisaidie kutatua tatizo, nipo Dar namba yangu 0787662663, e-mail peacebm@yahoo.com