Hongera mkuu kwa hiyo wewe hukua na wakili?Kama kawaida kesi ilinguruma japo mashahidi hawakufika na mshitakiwa alikuja na mawakili wawili na mawakili hao kuweka pingamizi kua kesi iendeshwe kwa kingereza maana mtuhumiwa hajui kiswahili wakiamini hapo watakua wameniweza ivo kesi ilinguruma karibia masaa mawili na ikiendeshwa kwa kingereza binafsi nilifrai maana walijua wamenikomoa wakajikuta wameluka mkojo na kukanyaga kinyesi.Mziki ulobaki ni wa mashaidi kufika Mahakamani.
mashahidi wataitwa na wasipofika the court will issue a summons, failure to comply with it a warrant of arrest will follow.Kama kawaida kesi ilinguruma japo mashahidi hawakufika na mshitakiwa alikuja na mawakili wawili na mawakili hao kuweka pingamizi kua kesi iendeshwe kwa kingereza maana mtuhumiwa hajui kiswahili wakiamini hapo watakua wameniweza ivo kesi ilinguruma karibia masaa mawili na ikiendeshwa kwa kingereza binafsi nilifrai maana walijua wamenikomoa wakajikuta wameluka mkojo na kukanyaga kinyesi.Mziki ulobaki ni wa mashaidi kufika Mahakamani.
Huyo mzungu ulimshtaki kwa kosa gani?Hapana mkuu nilisimama mwenyewe na vilevile kwa sasa nikesi ya Jamuhuri japo mlalamikaji ni Mimi lakini nakua Shahidi wa Jamuhuri