Naomba msaada wa jinsi ya kudownload Coreldrawx3

Feberia

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
542
Reaction score
220
Habari wanaJF,

Nimekuja kwenu kuomba msaada kwa yoyote mwenye kuweza kunifahamisha zaidi jinsi nitakavyoweza kudownload CORELDRAWX3

Au nyingine yeyote yenye kufanya kazi sawa na hii

Asanteni
 
Adobe suite inafnya kaz sawa na coreldraw mkuu?
Adobe suite(Adobe creative suite) ni mkusanyiko wa adobe product (tools) for creativity

So tukifanya comparison ya tool za Adobe zinayoweza kufanya yanayofanywa na coreldraw basi adobe illustrator ndo mpango mzima hii sio kwamba coreldraw haiwezi kufanya vizuri kama illustrator bali kwa kuwa adobe illustrator inakubalika kikazi zaidi na wataalamu wa vector based graphics wanatumia hiyo mara kwa mara.

Maoni yangu:

Tumia illustrator kwa kuwa hata interface yake ni rahisi kuielewa.

Pia haisumbui sana kwenye kufanya installation wakati mwingine coreldraw inataka internet kuinstall library flani kwenye window labda version za sasa

Ni hayo tu.
 
Nimezoea sana CorelDraw pia interconectivity na software za Mashine mbalimbali zipo kwa wingi, nazungumzia CNC, Laser machines, na plotter.

Adobe ni Industry standard.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom