Simu ni ile ile una upgrade tu operating system (OS) kama window tu windows 10 ni tofaut na window 7, faida zipo update ndo utazijua hasara zipo kwa old device
Kuna masuala mengi tu mfano security,user interface, convenience, na mengineyo.kwa mfano mimi kwenye android 9 nikidelete document au file la audio linaondoka jumla ila la video linaenda kwenye recycle bin,kwenye android 10 kila sina ya file liwe document,iwe audio linakuwa na recycle bin yake ambayo haiingiliani na na mafaili ya aina nyingine.Hii ni badiliko moja tu yapo mengi
Simu ndogo unatumia kies ya zamani kama sijakosea, just google software ya kies weka kwenye computer, connect simu na usb cable kisha tumia kies kuangalia update
Ku upgrade sio lazima sana kama sio muhimu.kama cm inafanya kazi vizuri unatunza charge uko supported na app muhimu inatosha.Unaweza uka upgrade ukaanza kuona simu haiko sawa kama mwanzo au ikawa nzuri zaidi jaribu kuangalia android 7 kwa note 5 inafaida zaidi au ubaki tu kwenye 5.1.1
Kweli kabisa mkuu nimeupdate A50 yangu kwenda android 10 saiv inakula chaji kweli afu hairekodi calls tena km mwanzo pia fast charging imepungua speed.
Kwa simu ya Samsung sioni haja ya kuibebesha mzigo wa gcam,, nlidownload gcam nkaishia kuifuta tu coz nliona camera ya simu inabamba tu sana.
Kweli kabisa mkuu nimeupdate A50 yangu kwenda android 10 saiv inakula chaji kweli afu hairekodi calls tena km mwanzo pia fast charging imepungua speed.
Pole fanya hivi alafu nipe jibu fanya factory data reset kama una vitu vyako muhimu fanya back-up kwanza au viamishe kwenye memory card.Hiyo njia inasaidia sana simu itakuwa android 10 ila itakuwa haina shida zinazo jitokeza sasa.Ndo mana nikashauri tu kama update haina umuhimu sana si lazima kufanya kama mimi bado nipo kwenye lollipop mkuu
Simu ndogo unatumia kies ya zamani kama sijakosea, just google software ya kies weka kwenye computer, connect simu na usb cable kisha tumia kies kuangalia update