Sawa mkuu nielezee hyo smart switch inakuaje maana nmeangalia review youtube naona sielewiii mkuu.Mkuu note 5 unaweza tumia smart switch kwenye pc, sema kama ulinunua hizi simu zetu za mitaani hakiki hio model
Zima simu kisha shikilia cha kuwasha, kupunguza sauti na cha home kwa pamoja itaingia download mode angalia model yake.
Unaidownload kwenye pc, unaconect simu na usb cable nenda kwenye emergency software recovery kisha fuata maelekezo.Sawa mkuu nielezee hyo smart switch inakuaje maana nmeangalia review youtube naona sielewiii mkuu.
Ipo smart switch ya simu na pc husika hapa ni ya pc link hiiSawa mkuu nielezee hyo smart switch inakuaje maana nmeangalia review youtube naona sielewiii mkuu.
Sawa mkuu hiyo emergency software recovery ipo kweny simu au pcUnaidownload kwenye pc, unaconect simu na usb cable nenda kwenye emergency software recovery kisha fuata maelekezo.
Ila usiruke step hio ya download mode ni muhimu pengine ndio maana hujapata automatic update.
Samsung hawatoi updates kwa simu za mitandao kama verizon, t mobile, Lg U+ etc
Hiyo simu kuipa android 10 ni kuibebesha mzigo mzito sana.Sisi device zetu huwa zinakuwa notified kwamba zinahitaji update nadhani system zinacheki device fulani kama inastahili na itaweza kubeba hizo updates.embu jaribu kuupdate android kwa android mfano 5 kwenda 6 kwenda 7 kwa style hiyoMkuu yan we acha tu kwan nikiroot hiv sipati android 10 mkuu
Ku upgrade sio lazima sana kama sio muhimu.kama cm inafanya kazi vizuri unatunza charge uko supported na app muhimu inatosha.Unaweza uka upgrade ukaanza kuona simu haiko sawa kama mwanzo au ikawa nzuri zaidi jaribu kuangalia android 7 kwa note 5 inafaida zaidi au ubaki tu kwenye 5.1.1Mkuu yan we acha tu kwan nikiroot hiv sipati android 10 mkuu
Mkuu me shida yangu ni ku install google camera sasa wanadai niwe na android 7 na kuendelea hapa nilipo nmeinstall google camera kwa version below 5.1.1Ku upgrade sio lazima sana kama sio muhimu.kama cm inafanya kazi vizuri unatunza charge uko supported na app muhimu inatosha.Unaweza uka upgrade ukaanza kuona simu haiko sawa kama mwanzo au ikawa nzuri zaidi jaribu kuangalia android 7 kwa note 5 inafaida zaidi au ubaki tu kwenye 5.1.1
Nmejaribu nmeshindwa ata maana kwenye setting nakuta neno software version lakn sion software updateHiyo simu kuipa android 10 ni kuibebesha mzigo mzito sana.Sisi device zetu huwa zinakuwa notified kwamba zinahitaji update nadhani system zinacheki device fulani kama inastahili na itaweza kubeba hizo updates.embu jaribu kuupdate android kwa android mfano 5 kwenda 6 kwenda 7 kwa style hiyo
note 5 ni flagship ya zamani ina nguvu kushinda majority ya midrange za sasa hivi.Hiyo simu kuipa android 10 ni kuibebesha mzigo mzito sana.Sisi device zetu huwa zinakuwa notified kwamba zinahitaji update nadhani system zinacheki device fulani kama inastahili na itaweza kubeba hizo updates.embu jaribu kuupdate android kwa android mfano 5 kwenda 6 kwenda 7 kwa style hiyo
angalia hii video jamaa ameelezea vizuriSawa mkuu hiyo emergency software recovery ipo kweny simu au pc
samsung ni kampuni kubwa hutapata utofauti sana baina ya camera app yao na gcam, ila unaweza ukajaribu kuna situtation mbalimbali inaweza kusaidia.Lakin ata hii camera nzuri ila naak nzur zaid ndo maana natak hiyo android 7
Kama hupati update kwa OTA basi device ipo modified, rooted, n.kWakuu habari zenu.
Nilikua nataka nia update android version kutoka 5.1.1 kwenda android 7 sasa nmejaribu lakn nmeshinda,je nifanyaje ili niweze kuaupdate wakuu. aina ya simu ni galaxy note 5 nmeattach na model yake hapo chini.
View attachment 1463782
kwani hizi Android 9 mpaka 10 zinafaida gani na kunatofauti gani na hiyo 5 mpaka7 labda embu nitoe ushambaWenzako tumetoka android 9 kwenda 10 wewe unatoka 5 kwenda 7
Simu ni ile ile una upgrade tu operating system (OS) kama window tu windows 10 ni tofaut na window 7, faida zipo update ndo utazijua hasara zipo kwa old devicekwani hizi Android 9 mpaka 10 zinafaida gani na kunatofauti gani na hiyo 5 mpaka7 labda embu nitoe ushamba