Enable (hack) BlackBerry Browser without BIS/BES ~ Hacking Unlocked soma hapa ila hilo file la kudownload download hapa https://app.box.com/shared/j6lp6cii8g
Habari wana Jukwaa
Naomba msaada ni namna gani naweza tumia huduma za vifurushi vya internet kwenye simu Yangu bila kujiunga na special bundle LA blackberry.
Natanguliza shukrani.
Cc Wadau wote wa Gadgets
download hapa https://app.box.com/shared/j6lp6cii8g sevicebook kisha blackberry desktop manager http://downloads.blackberry.com/swd...087_e4f351bc712bfed83142a93026c5d933&ext=.exe
install kisha chukua cm yako ingia mpaka kwenye servicebook hold alt + SBEB kisha fungua blackberry desktop manager kisha restore servicebook uliyodownload
Ndugu nikifungua naona tu option ya kuback up na kurestore siion ya kuback up service book
unatumia blackberry desktop manager version ngap
Version 6,nimefanikiwa kurestore hilo file muda huu nimepita kwenye restore kuna hiyo ya kurestore service book sasa tatizo kwenye maelezo inaonyesha ukisharestore utaona service book 2 lakn kwangu naziona kibao au ukisha minya alt s b e b unafuta data za kwenye service book !!!???