zenye crack napata shida kudwnload maana baada ya kudownload zile zipped files nyingi zinahitaji password ambayo inapatikana kwenye surveys kutokana na link ya web itakayotolewa na huyo alietoa crack ya hiyo software ..sasa tatizo kila nikifanya survey huwa inashindikana kupata password za zipped file..wananiambia no survey available