Naomba msaada wa haraka kwa aliyechaguliwa MUST

Dr Maja

Member
Aug 23, 2020
41
125
Wana JF, Natumai mko poa!

Kuna rafiki yangu amepata admission MUST lakini akiingia kwenye account yake haoni andishi lolote! (kwasasa, alipokea ujumbe wa kufanikiwa kupata admission pale). Je, kwenye account zenu nyie kuna maandishi? Au ni tatizo kwake tu?

PS: amejaribu kuwapigia cm hawapokei, hawapatikani... Na anahitaji joining instruction, admission letter etc. Kama mnaweza kumsaidia maana amepanic!
 

Tumaini z

Member
Sep 10, 2020
84
125
Mm nimechaguliwa MUST pia nilihangaika Sana hats ukiwapigia simu hawapokei kujua kwenyewe Kama nimechaguliwa hapo ni kupitia website za watu tu,kuingia kwenye account shida,kuja kushtuka kumbe nilikuwa nachanganya website badala kusearch www.must.ac.tz me nilikuwa nasearch www.mustnet.ac.tz, kwahiyo kwanza angalia website unayotumia af MUST selection na admission letter hawazitoi kwenye personal account wanatoa kwenye website yao unachotakiwa kufanya ni kudownload.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom