MomB
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 191
- 276
Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.
Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa natumia ila bado.
Pain killer nameza kila baada ya masaa mawili usiku silali naombeni msaada wenu wakuu nateseka sana.