Naomba msaada wa dawa ya hivi vipere

Joined
Feb 9, 2019
Posts
95
Reaction score
114
Wadau naitaji msaada wa dawa ya hvi vipere ni miaka 6 sasa nasumbuka navyo nishahangahika Sana vnapotea na kurudi

 
Nenda kwa mtaalamu wa magonjwa ya ngozi, anaitwa dermatologist.
 
Wakati unasubiri kwenda huko kwa doctor, Tafuta aloe vera, uwe unapaka maji/Utomvu wake asubuhi na jioni baada ya kuoga, Ila usiwe unarudia nguo au kuvaa nguo ambayo haijafuliwa wakati wa matibabu. Ukishapona ukumbuke kuja kusema asante JF.
 
Mimi naona majani ya mnyonyo ukisugulia kwisha kabisa.
Ukifanikiwa ukumbuke kurudi kwa mganga hapa utoe shukran

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…