SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,339
- 2,249
Salaam Ndugu wana JF!
Naomba msaada wa software ya kurecover data kutoka kwenye External Disc, Flash etc.
Nimejaribu kudownload ''File Scavenger Version 3.2'' lakini nimeshindwa kuitumia, inahitaji KEY.
External Drive yangu inakataa kufunguka through USB port, kila nikijaribu inanipa option ya kuformat, naogopa nikiiformat ntapoteza files. Naomba msaada wowote utakaofaa kuyapata hayo ma-file toka kwa external disc.
Natanguliza shukrani kwenu, hope ntapata msaada!