cyrillionaires Member Joined Oct 25, 2012 Posts 67 Reaction score 53 Apr 7, 2015 #1 Habar zenu wna Jamii.. Naomba nisaidiwe kuyatambua makampuni mazuri (in terms of proffesionalism) ya networking yanayofunga(installation,configuration and support ) hapa bongo.... Nikisaidiwa pia baadh ya project walizofanya haitakuwa vibaya...
Habar zenu wna Jamii.. Naomba nisaidiwe kuyatambua makampuni mazuri (in terms of proffesionalism) ya networking yanayofunga(installation,configuration and support ) hapa bongo.... Nikisaidiwa pia baadh ya project walizofanya haitakuwa vibaya...