Naomba msaada,tecno k7 kutoonesha default apps nyingi.

Naomba msaada,tecno k7 kutoonesha default apps nyingi.

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
Naomba kujua kuhusu tecno k7 nimeinunua lakini naona default apps nyingi hazipo.

file manager n.k na zile nyingine nyingi ambazo ukinunua tu simu unazikuta by default..nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini hukuiweka kwny friza mkuu?
Naongelea freza hii ipo kwenye techno nyingi
Screenshot_20190121-113716.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom