the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Simu tajwa inasumbua ukiwaiwasha inawaka then inanipa option ya password nikiweka inakubali ila some time inagomea kwenye logo ya huawey other time inawaka kabisa then inaanza kudisplay fail messages za google market,
yaani hapo inakua huwezi tumia tena mpaka utoe betri na ukiiwasha inarudia vile vile, nimepeleka kwa mafundi Arusha imeshindikana kutengemaa sasa naomba msaada wenu wana JF.
Ni huawey y300 za mwanzo za tigo na ilikua imeunlokiwa ikawa inasoma line zote.
Samahan kwa maelezo mengi na naamini nitasaidiwa