Nina mdogo wangu kachaguliwa chuo Cha utumishi wa umma yaani Tanzania public service college kusomea certificate in secretarial studies
Sasa swali langu najiuliza akihitimu ataenda kufanya kazi wapi na Kama nani. mwenye kujua tafadhali anijuze
Natanguliza shukrani