Hiyo window ulinunua zile genuine ?kwa hizi za kawaida za kudownload haziji na chochote zaidi ya media player,na ukichukua window 10 pro N hiyo ndo hupati chochote.
Kuhusu kutowaka sina utaalamu wa kujua sababu,ila nashauri piga tena window,window nzuri ni window 10 pro,na window 10 pro N ,hizi binafsi ndio naona zipo konk
Sent using
Jamii Forums mobile app