hata mimi ninatatizo hilo.. Simu yangu imestuck kwenye LOGO tu ya samsung haiendi zaidi halafu kwenye computer ukichomeka haionekani.... nimeenda kwenye duka la samsung wameishindwa nimepeleka kwa mafundi wengine hivyo hivyo nimeiweka kabatini.. kama kuna watu wanaweza kujua tatizo ni nini wanaweza wakanipa na mimi solution