1. Memory card inaweza kuwa ina bad sectors jaribu kufanya file system repairing na cmd kwa sababu soon itaanza data corruption.
2. Memory card inashindwa kuwrite data kutokana na speed ndogo. Angalia kama inaanzia class ten angalau speed ya kuwrite data itakuwa ni kubwa.
3. Pia, make sure hakuna resources nyingi zinazotumia sd card yako. mf. kama umeset sd card iwe primary storage ni lazima kitu kama hiki kitatokea kwa sababu speed ya kuwrite data itapungua endapo utakuwa unatumia sd card kama itakuwa primary storage.