Naomba msaada pc yangu imezingua'''

x-factor

Senior Member
Aug 20, 2012
181
212
pc yangu ni hp pavilion g6, nimebadilisha windows mara kadhaa, bt nw inazingua hasa ninapocheza game FIFA, so nataka ku recover to orijinal state(at the time nainunua) nimejaribu lakin nimeshindwa maana haina system recory manager, naomba msaada wa ushauli
A%20S%20thumbs_up.gif
 
Kama uli format HDD na uka delete partition au kuweka zako jua haitawezekana tena Hadi kwenye official website zao ukatafute restore disk image.
 
exactly, utarestore nini kama ulifuta kila kitu? labda ungesema tatizo watu wakusaidie. Pia most laptops haziwezi kucheza Fifa, kwa sababu inahitaji graphics card nzuri wakati majority ya laptops zina basic ghaphics cards. Je uliwahi kucheza Fifa toleo hilo kabla ya kuifuta Windows? Details za laptop, etc.....
 
thanx,, cjawahi kuformat disk c,,, bt huwa nafuta windows old baada ya kubadilisha OS, ntajaribu kucheck restore disk image kwenye website yao,,
 
thanx,, cjawahi kuformat disk c,,, bt huwa nafuta windows old baada ya kubadilisha OS, ntajaribu kucheck restore disk image kwenye website yao
 
fifa ilkua inacheza vizuri,,, am confident with graphic card ni kubwa,,, graphic card card yake ni nvidia geforce 1gb,,
 
X-Factor kwa maelezo yako haya "cjawahi kuformat disk c,,, bt huwa nafuta windows old baada ya kubadilisha OS, ntajaribu kucheck restore disk image kwenye website yao,,

Inamaanisha ya kuwa unafanya installation ya Windows kisha uweki drivers za accelerated graphics drivers.Fanya hivyo uone jibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom