Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

Habari ya wakati huu

Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo.

Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain from sex.

Genital hygiene huwa sivai nguo ya ndani bila kuipiga pasi na kubadilishwa kila mara

Kama kuna dawa au njia nzuri ya kuweza kukabiliana navyo naomba msaada

View attachment 2717835
mkuu umepona? na kama umepona umetumia dawa gani?
 
Kunyweni sana Pombe na mkishalewa nendeni mkanunue Maliar kisha nyonya sana papuchi!



 
Back
Top Bottom