Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,451
- 1,826
@maccavelli atakusaidiaHaujui kutoa Password mkuu unisaidie?
@maccavelli atakusaidiaHaujui kutoa Password mkuu unisaidie?
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo ww nini mkuuNaombeni namna ya kutoa Password kwenye Tecno L8 jamani.
Habari za wakati huu wadau naomba msaada nimeibiwa Sim aina ya TECNO-L8", inakiasi kidogo cha pesa ktk line, haina application yoyote ya kuzuia wizi , Ina password tuu, IMEI zake ninazo
Naomba msaada nifanye nini? "
hahhahahha ila we jamaa unazingua sanaNaombeni namna ya kutoa Password kwenye Tecno L8 jamani.
Njia rahisi ni kumuona uliyemuibia muombe msamaha na password yake, akiwa muelewa atakusamehe mara saba mara sabini na atakupa password, mimi nilifanya hivyo.Naombeni namna ya kutoa Password kwenye Tecno L8 jamani.