Naomba msaada, nimefungiwa WhatsApp yangu

jangos

Member
Dec 20, 2023
25
29
Nimefungiwa WhatsApp yangu Kwa mda sasa inakua hivi

Naomba msaada

Screenshot_2024-01-06-21-13-20-44.jpg
 
Badilisha line tumia mtandao mwingine kisha wajulishe watu wako
Wamekufungia sababu ya Spam acha kutuma vitu vya hovyo
Akibadilisha line wanadetect simu ilotumika watafunga tena.
Muhimu bonyeza help ujieleze kuomba kufunguliwa. Km kuna makosa uliyafanya yakiri kuwa ulifanya pasipokujua mfano forwarding nyingi kwa watu wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom