Naomba msaada nielewe kazi ya es-exproler

Naomba msaada nielewe kazi ya es-exproler

emmauel

Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
30
Reaction score
3
Simu yangu ilifutika apk hiyo ambayo ndio orijino yake sasa nashindwa kuelewa kuna umuhimu wa kudownload apps nyingine?
 
Ni file manager na ni muhimu sana kufahamu kuitumia.

Kazi yake ni kukuwezesha kupekua kila mahala kwenye simu yako
 
Ndugu,mkwawa naomba unijuze zaidi kuhusiana na apk hiyo,
 
Back
Top Bottom