Naomba msaada ndugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada ndugu

Discussion in 'JF Doctor' started by dubu, Dec 14, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hivi kama una demu wako meno ya dhahabu, namaanisha wale wa kanda ya kaskazini. Inawezekana kuweza safisha yakawa meupe?
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hivi nyie jf mbona hamnipi ushauri? changieni bana nakakusugue hayo meno joo. ova
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  unaweza kusafisha yakawa meupe kamuone Dakatari wa meno akusafishe hayo meno ya demu wako.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa sababu unauliza maswali ya kinanihiii.........
  well....nenda kwa dentist.....utasafishwa na jino moja ni kati ya elfu 25,000 na 30,000.....meno 32x30,000=960,000/=
   
 5. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Ile kitu kwa kawaida ni pure gold jino lote kabsa. Inatokana na athari ya madini mengi ya chlorine kwenye maji aliyokunywa utotoni!
  USHAURI: Kama vp nenda kwa dentist,muombe angoe yote kisha amwekee artificial dental formula!
   
Loading...