mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Verdict!!!!!sa buku kumi na wewe unampa baba mkwe kawa dereva bodaboda ? maana ndo wanapewaga buku kumi baada ya kufikisha michepuko meneo ya matukio
daaaa,sipati picha wew dada ni mjanja kias ganii kila nikisoma poxt zakosa buku kumi na wewe unampa baba mkwe kawa dereva bodaboda ? maana ndo wanapewaga buku kumi baada ya kufikisha michepuko meneo ya matukio
Kaka nashkuru sana kwa kuonesha ni sahihi nifanyavyoHongera mkuu kwa kufanya mathna ...
Ila pia msihi mkeo kuwafanyia wazazi wawili ihsaan ,na ndivyo tulivyofundisha ,hata kama watakuwa na mapungufu ila bado ni wazazi...
jaribu kumrai na kumpa maneno mazuri juu ya wazazi wake ,wala usiwe m'bomowaji baina yake na wazazi hata kama wanamapungufu
mungu akupe subra katika kipindi hiki kigumu
Jiheshimu sio mchepuko ni mkewe!mchepuko unakuhangaisha. mrudie mkeo wa kwanza
Hamna shida mkuu maana ni jambo jema lenye mitihaani na linahitaji subra sana ...Kaka nashkuru sana kwa kuonesha ni sahihi nifanyavyo
Rekebisha mwandiko kaka, hausomekiHabari zenu wana JF.
Sitaki kupoteza muda ngoja niweke dhumuni la uzi huuu.
Mwaka juzi niliamua kuweka dhamira ya kuengeza mke wa pili wa vile dini inaruhusu nikapata kimwari tukashawishiana ikabidi tuanze michakato ya ndoa.
Nikaenda kuposa kwa baba ake akaulizwa umeahakubali kua mke wa pili akajibu ndio baba mtu akanidai funicture ya milioninmoja na laki saba 1.7milion mi nikanunua vitu vyote walivyoniagiza alipokuja kumbiw mama mzazi wa mtoto hakufurahia mwanawe kuolewa mke wa 2 akasema kama sitotimiza mahari ndio njia ya kunichomolea nami kwa kua nilijipanga wakambulia patupu nikataka kuahairi mimi ila watu wakaninasihi na kuniambia sio vzr.
Nikaowa niko kwangu wife kapata ujauzito wakati anasumbuliwa na mimba changa mankwe kaja kamwambia mwanawe umerogwa na mke mwenzio wewe siku ya harusi mwanawe akambishia akamuambia unampenda sana mume wako hata mama ako humuamini mama mkwe katenda visa vingi hadi anamuambia kua mwanawe hatodumu ataachwa tuuu karibuni.
Nikasema poa nikaweka tumaini kwa baba kama mama hanipendi na wife tunaishi vzr juzi nimempigia simu baba ake nikamjulia hali akanimbia yuko hospitali ndungu yake kalazwa kwa vile mi niko mbali nikamuagiza dogo aende akawaone na awape kiasi kidogo cha fedha ameenda alpofika akaamua kumuachilia 10000 akamuambia baba hii itakusaidia kwa nauli basi alipoondoka yule mjumbe akampigia simu mwanawe (my wife) akamuambia " wewe na mume wako wajeuri tena wachoyo mume wako anamuambia mtu anipe 10000 mie itanisaidia nini naomba uje uchukuwe umpe mwenyewe"
Kwa kweli maneno hayo yamemuuma sana mwanawe ameniambia nikambembeleza sana amsamehw baba yake ila bado wife linamchoma na analia kila wakati na ukizingati kua hayupo na mie kwa sasa yuko kwao ameenda kujifungua.
Mke wangu ameniambia siku akisikia nimemgaiya mama ake ama baba yake hata mia basi mi na yeye tutagombana amesema hivi " Nisije kukusikia umempa mama ama baba angu hata shilingi ukimpa mimi na wewe tutatambuana "
Naombeni msaaada Ingekua kama si mtoto ningempa red ila mtoto atasumbuka hawezi kumtuza ( malezi ni ya baba na mama)
Piki mwanzo nilikua nikijitahidi kwa wazazi wake na kuwajali japo walikua wakinichukia ila nami sasa najisikia kuwachukia ?
Asante nashkuru kwa ushauriUsije ukawachukia wazazi wake hata kidogo.Imeandikwa wapendeneni adui zenu.
Endelea kutimiza majukumu yako ipasavyo usioneshe kisasi wala chuki kwa njia hiyo baadaye watakupenda tu.
Utakapojaribu kuonesha umwamba na uadui dhidi yao hasa ma mkwe utakuwa umeharibu kila kitu na utaonekana mbaya kuliko wao.
Tambua kuwa kila mtu ana madhaifu yake usiwahukumu
Pia huwezi ukapendwa na kila mtu hata ufanyeje
Timiza majukumu yako kulingana na uwezo wako Mungu anakuona.
Mwisho:Share love to all people even if other hate you God sees you
Miss natafuta unanifurahisha sana yaansa buku kumi na wewe unampa baba mkwe kawa dereva bodaboda ? maana ndo wanapewaga buku kumi baada ya kufikisha michepuko meneo ya matukio
Baba mkwe anauguza anapewa msimbazi mmoja????sa buku kumi na wewe unampa baba mkwe kawa dereva bodaboda ? maana ndo wanapewaga buku kumi baada ya kufikisha michepuko meneo ya matukio
Hehehehehehehehrh.tuseme ukweli tu mkuu sasa we mke wa pili wa nini lakini? mbona hivyo?
hujui kuwa wazazi wa binti ni wako pia na wanahitajika kutunzwa na binti ?
elfu kumi halafu una wake wawili?
embu tunza wakwe zako bila wao usingepata hicho kimbunye
nimepata shida sana kukuelewa
nimeshangaa sana bora asingempa .wazee wenyewe wa siku hizi wanajua thamani ya hela etiBaba mkwe anauguza anapewa msimbazi mmoja????
Khaaaa